Hatimaye Kaka’ke ZARI Amchumbia LINAH!
Mbongo Fleva, Esterlina Sanga ‘Linah’ na mchumba wake ambye ni kaka za Zari, Wiliam Bugene ‘Boss Mtoto’.
Hatimaye staa wa Bongo Fleva ambaye ni zao la Nyumba ya Vipaji Tanzania (THT), Esterlina Sanga ‘Linah’ amechumbiwa rasmi na yule jamaa wake, Wiliam Bugene ‘Boss Mtoto’ ambaye ni kaka kiukoo wa mpenzi wa mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady.’