MAJANGA! Mwanadada Mwingine Mtanzania Akamatwa na Madawa ya Kulevya Indonesia..Alikuwa Ameyaficha Tumboni Kama Pipi
Dada wa Kitanzania kakamatwa na madawa ya kulevya Indonesia.
Alikamatwa alipotua uwanja wa ndege Jakarta wa Soekarno-Hatta baada ya maofisa wa usalama kumshuku.
Alikamatwa tarehe 4, Julai na vidonge 32 tumboni vya heroine na meth venye uzito wa gramu 540.
Taarifa za maofisa hao wa uwanja wa ndege, zinasema kuwa alishukiwa tangu Tanzania kutokana na mwendo wake lakini karuhusiwa kuendelea na safari kuja Jakarta kupitia Doha, Qatar.
Hawajasema vipi walipata habari hizo za kuachwa huru Tanzania na Qatar.
Pengine alihonga Tanzania au Qatar hawakutaka kuhangaika nae kwa kuwa alikuwa Transit na kumchomea Indonesia.
Kinachojulukana ni kuwa amefunguliwa shitaka, chini ya kifungu 113 cha mwaka 2009, kinachotoa hukumu ya kifo kwa makosa ya kukamatwa na madawa ya kulevya nchini Indonesia.
Anajulikana tu kwa jina la MA.