Unavyoona hapa wanamfanya nini huyu jamaa? Hembu muone

Jamaa akiwa na shati lake la kijani ambayo ni rangi ya chama kimoja cha siasa hapa nchini, akiwa amebebwa juu juu na wafuasi wa CHADEMA wakati Lowass akienda kuchukua fomu ya Urais 2015

Popular posts from this blog

Kocha mpya wa muda wa Chelsea kabidi awaambie ukweli mashabiki wa Chelsea, hii ndio kauli yake …

Walimu wadaiwa kuacha vipindi kukimbilia kufanya kazi migodini