PROF. MWANDOSYA: MAGUFULI Hajawahi Hata Kuwa Mjumbe wa Tawi la CCM...Iweje Apewe Urais Leo...

Prof. Mwandosya amenukuliwa akisema kuwa Magufuli haifahamu na haijui CCM kwa kuwa hajawai kuwa hata mjumbe wa tawi la CCM.
Aidha ameweka wazi kutoridhishwa na mchakato uliofanywa na Kamati Kuu kuipata tano bora na hatimae Magufuli.

Anasema kamati kuu haikuwa na mvuto kiasi kwamba Mwenyekiti J.Kikwete hakuwa anajiamini,alifika wakati ana-adress kwa mwenyekiti na kujishtukia "kumbe mwenyekiti ni mimi mwenyewe".
Profesa amesisitiza kuwa watu walikuja na majina mifukoni kwani majina yalivuja kabla hata vikao.

Popular posts from this blog

Kocha mpya wa muda wa Chelsea kabidi awaambie ukweli mashabiki wa Chelsea, hii ndio kauli yake …

Walimu wadaiwa kuacha vipindi kukimbilia kufanya kazi migodini