Afariki ajalini akielekea kuchukua fomu za kuwania Ubunge Njombe


Conrad Mtenga aliyekuwa na cheo cha Mkaguzi wa Kanda (Zonal Inspector) wa TAKUKURU ametaarifiwa kuapata ajali na kufariki dunia akiwa njiani kwenda Njombe kutangaza nia ya kuwania Ubunge.

Taarifa zinasema kuwa gari hilo liligongana uso kwa uso na lori aina ya Scania.

Familia yote imelazwa ICU (mke na watoto). Amefariki yeye mwenyewe na meneja wake wa kampeni. 


Taarifa hii imenukuliwa kutoka kwenye blogu ya GSengo

Popular posts from this blog

Kocha mpya wa muda wa Chelsea kabidi awaambie ukweli mashabiki wa Chelsea, hii ndio kauli yake …